1. Home
  2. Lyrics
  3. Marioo – Mombasa (Lyrics + Traduction en français + Signification)
Marioo – Mombasa (Lyrics + Traduction en français + Signification)

Marioo – Mombasa (Lyrics + Traduction en français + Signification)

2
0
Partager

► Marioo – Mombasa – PRÉSENTATION

Mombasa aahh, Mombasa aahh
001 uh yeah yeah
Mombasa aahh
Kanibari kutoka… Mtu nnampennzi
Mombasa aahh
Lakini sidekezwi mi mpenzmatazamaji

Mtu mina kwetu nitakuwa fala
Kama samaki akifa kwenye maji
Acha nionikane sijiwezi
Siri ya mtungi naijua kata
Ni mara ngapi nimeumizwa nikalia

Aaah uliza hili jicho
Hawa watu hawa
Hivi kwel ni watu wa mungu hawa
Mbona hawana huruma hawa
Dar es salaam mtanitoa roho yangu

Mi siwezi kuishi bila kupendwa bora niende
(Mombasa aahh)
Nikajaribu zari langu mimi
(Mombasa aahh)
Naomba mnipokee eehh
(Mombasa aahh)
Abdulswamahy natessema mimi
(Mombasa aahh)

Nipate mtoto wa mtu nimpende
Nimpende salamu zifike bongo
Zahabu chini ya mtende
Namimi nitulize ubongo
Nachoka mimi nachoka
Kulia lia kama mtoto
Basi nikipate nitulie
Ushanitosha msoto

Hawa watu hawa
Hivi kweli ni watu wa mungu hawa
Mbona hawana huruma hawa
Dar es salaam mtanitoa roho yangu

Mi siwezi kuishi bila kupendwa bora niende
(Mombasa aahh)
Nikajaribu zari langu mimi
(Mombasa aahh)
Naomba mnipokee eehh
(Mombasa aahh)
Abdulswamahy natessema mimi
(Mombasa aahh)

► Mombasa Lyrics (Traduction en français)

Mombasa aahh, Mombasa aahh
001 uh yeah yeah
(Mombasa aahh)
Kanibari kutoka… Mtu nnampennzi
-Cannibale de… Une personne que j’aime.
(Mombasa aahh)
Lakini sidekezwi mi mpenzmatazamaji
-Mais ne vous y trompez pas, chers téléspectateurs.

Mtu mina kwetu nitakuwa fala
-Quelqu’un des nôtres sera une bénédiction.
Kama samaki akifa kwenye maji
-Comme un poisson qui meurt dans l’eau
Acha nionikane sijiwezi
-Je dois avouer que je ne peux pas.
Siri ya mtungi naijua kata
-Je connais le secret du bocal, coupez-le.
Ni mara ngapi nimeumizwa nikalia
-Combien de fois ai-je souffert et pleuré ?

Aaah uliza hili jicho
-Ah, demandez à cet œil.
Hawa watu hawa
-Ce sont ces gens
Hivi kwel ni watu wa mungu hawa
-Ce sont véritablement les enfants de Dieu.
Mbona hawana huruma hawa
-Pourquoi n’ont-ils aucune pitié ?
Dar es salaam mtanitoa roho yangu
-Dar es Salaam, tu me rendras mon âme.

Mi siwezi kuishi bila kupendwa bora niende
-Je ne peux pas vivre sans être aimé, je ferais mieux de partir.
(Mombasa aahh)
Nikajaribu zali langu mimi
-J’ai fait de mon mieux.
(Mombasa aahh)
Naomba mnipokee eehh
-Acceptez-moi, eh bien.
(Mombasa aahh)
Abdulswamad natessema mimi
-Abdulswamad, dis-je.
(Mombasa aahh)

Nipate mtoto wa mtu nimpende
-J’aurai peut-être l’enfant de quelqu’un à aimer.
Nimpende salamu zifike bongo
-Je t’aime, salutations à mon cœur.
Zahabu chini ya mtende
-De l’or sous le palmier
Namimi nitulize ubongo
-Je vais calmer mon esprit.
Nachoka mimi nachoka
-Je suis fatigué, je suis fatigué.
Kulia lia kama mtoto
-Pleure comme un bébé
Basi nikipate nitulie
-Donc si je peux, je peux me calmer.
Ushanitosha msoto
-Tu n’es pas assez bien, tu n’es pas assez bien.

Hawa watu hawa
-Ce sont ces gens
Hivi kweli ni watu wa mungu hawa
-Ce sont véritablement les enfants de Dieu.
Mbona hawana huruma hawa
-Pourquoi n’ont-ils aucune pitié ?
Dar es salaam mtanitoa roho yangu
-Dar es Salaam, tu me rendras mon âme.

Mi siwezi kuishi bila kupendwa bora niende
-Je ne peux pas vivre sans être aimé, je ferais mieux de partir.
(Mombasa aahh)
Nikajaribu zali langu mimi
-J’ai fait de mon mieux.
(Mombasa aahh)
Naomba mnipokee eehh
-Acceptez-moi, eh bien.
(Mombasa aahh)
Abdulswamad natessema mimi
-Abdulswamad, dis-je.
(Mombasa aahh)

► Signification de “Mombasa”

► CONCLUSION

Visites : 2 Aujourd’hui | 2 Totales

Partager

LEAVE YOUR COMMENT

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

Prouvez votre humanité: 0   +   3   =  

error: Droits d'auteur !!!