1. Home
  2. Lyrics
  3. Nandy – Oya (Lyrics)
Nandy – Oya (Lyrics)

Nandy – Oya (Lyrics)

0
0
Partager

► Nandy – Oya

Couplet 1 :
Mwenzenu hata
Mi sina shaka
Hamna la kunikomoa
Wenzenu washa, pambana sana
Walitaka kumn’goa

Pre-refrain :
Mi siwezi ngumi
Ila ukimfuata nakuwa Tyson
Na nasikia uvumi
Mi mtakatifu mtoto wa sayuni
Eeh shii
Kuna wengi wananililia mingo
Sio wachache, sio wachache
Na watao kuambia kwamba mi niko single
Hao wachapwe, hao wachapwe

Refrain :
Ooya oya
Mi sio oya oya
Na sing’oleki kizembe
Ooh kizembe
Ooya oya
Mi sio oya oya
Na sing’oleki kizembe
Ooh kizembe

Post-refrain :
Na kama unamtaka ushamkosa
Mwenzako namkosha
Nenda kwa mwamposa
Mwenzako ushamkosa
Na kama unamtaka ushamkosa
Mwenzako namkosha
Nenda kwa mwamposa
Mwenzako kaniposa

Couplet 2 :
Hata mkiwanga
Vita ya mapanga
Simwachi ng’oo
Mimi nishamganda
Niko nae sambamba
Mpaka muombee poo

Pont :
Mmeachia ngazi
Mchuma umeondoka huo
Mnajipa maradhi
Mtakufa na vijiba vya roho
Mmeachia ngazi
Mchuma umeondoka huo
Mnajipa maradhi
Mtakufa na vijiba vya roho

Pre-refrain :
Mi siziwezi ngumi
Ila ukimfuata nakuwa Tyson
Na, nasikia uvumi
Mi mtakatifu mtoto wa sayuni
Eeh shii
Kuna wengi wananililia mingo
Sio wachache
Sio wachache
Na watakao kuambia kwamba mi niko single
Hao wachapwe
Hao wachapwe

Refrain :
Ooya oya
Mi sio oya oya
Na sing’oleki kizembe
Ooh kizembe
Ooya oya
Mi sio oya oya
Na sing’oleki kizembe
Ooh kizembe

Fiche technique

  • Titre : Oya
  • Artiste : Nandy
  • Lyrics : Nandy
  • Langue : Swahili
  • Album : 911
  • Pays : Tanzanie
  • Composition : The Mix Killer
  • Mix & Master : The Mix Killer
  • Distribution : Ziiki Media
  • Label : The African Princess
  • Audio : disponible sur toutes les plateformes de streaming
  • Écoute du projet : Nandy – 911

Nandy – Oya (Lyrics)

Visites : 1 Aujourd’hui | 1 Totales

Partager

LEAVE YOUR COMMENT

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

Prouvez que vous êtes humain : 10   +   8   =  

error: Droits d'auteur !!!