► Rayvanny – KANA SIFA
Intro :
Mmh, ah ah ah
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
Chui!
Couplet 1 :
Oya Mungu fundi katumbia vifaa
Usikae ndani tembea ndio utashangaa
Yaani bila wao pesa haina raha
Kwa hiyo usishangae kwa nini gesti zinajaa
Mpate demu mfupi akikupa ujuti
Mtoto anabebeka hata kwenye mfuko wa suti
Kuna huyu mweusi, maringo ya tausi
Vitu vya wazungu yaani mtoto black beauty
Pré-refrain :
Ukiniomba pesa nitakuambia subiri
Hela yangu ngumu hupati hata mia mbili
Na kama nitakupa ngoja miaka miwili
Ila kwa wachumba mi sinaga ubahili
Refrain :
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
Pont :
Wachumba pisi kali
Watoto hatari hatari
Mizigo ona mali
Sketi utakubali
Couplet 2 :
Mtoto rangi moja, uso hadi mabega
Wenye chuki eti rangi inambeba
Mtoto mweupe wote anawatega
Kama kwao Oman kumbe ni wa Nzega
Ukimpata demu mrefu usiende mbugani
Ukatafute nini twiga unaye nyumbani
Muone (anatembea kama miss)
Araringa (Mademu warefu vitu vyetu sisi)
Muone (anatembea kama miss)
Anavimba (Mademu warefu vitu vyetu sisi)
Sikiza mjomba Juma, mtoto wa kike huduma
Utamlinda na zuna wauni anawapa ku…
Pré-refrain :
Ukiniomba pesa nitakuambia subiri
Hela yangu ngumu hupati hata mia mbili
Na kama nitakupa ngoja miaka miwili
Ila kwa wachumba mi sinaga ubahili
Refrain :
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
Kana sifa kakiona mademu
