Israel Mbonyi – Sitamuacha
Intro:
Nilie mtambua, Hakuna kitatutenganisha
Hakuna Atakae ninyang’anya taji langu
Nilie mtambua, Hakuna kitatutenganisha
Hakuna Atakae ninyang’anya taji langu
Nilie mtambua, Hakuna kitatutenganisha
Hakuna Atakae ninyang’anya taji langu
Nilie mtambua, Hakuna kitatutenganisha
Hakuna Atakae ninyang’anya taji langu
Ayeeee , nimeshika Sitamuaca
Ayeeee , nimeshika Sitamuaca
Ayeeee , nimeshika Sitamuaca
Verse:
Mtini usipo chanua, mizabibu isitoe matunda
Bado nitamfurahiya wamilele bwana wangu
Haya yanitia moyo, Ni mcungaji wa upendo
Aliaca tisini na tisa, kaja kutafuta moja
Mtini usipo chanua, mizabibu isitoe matunda
Bado nitamfurahiya wamilele bwana wangu
Haya yanitia moyo, Ni mcungaji wa upendo
Aliaca tisini na tisa, kaja kutafuta moja
Pres-chorus
Amenibadilishia huzuni, aka Nipa furaha ya kweli
Bahati gani niliyo nayo, kuwa Murithi na Kristo
Amenibadilishia huzuni, aka Nipa furaha ya kweli
Bahati gani niliyo nayo, kuwa Murithi na Kristo
Chorus:
Kipi kitanitenga na upendo wake
Maafa na majanga oh Hayawezi
Ya Leo na yajayo nayo hayawezi
Ayeee nimemshika sitamuacaa
Ayeee nimemshika sitamuacaa
Kipi kitanitenga na upendo wake
Maafa na majanga oh Hayawezi
Ya Leo na yajayo nayo hayawezi
Ayeee nimemshika sitamuacaa
Ayeee nimemshika sitamuacaa
Kipi kitanitenga na upendo wake
Maafa na majanga oh Hayawezi
Ya Leo na yajayo nayo hayawezi
Ayeee nimemshika sitamuacaa
Ayeee nimemshika sitamuacaa
Bridge:
Nimemuona usiku na mchana,
Mkono wake umenitendea
Kila mlima aliusambaza
