1. Home
  2. Lyrics
  3. Pa Maabudu – Sifa Zako (Lyrics)
Pa Maabudu – Sifa Zako (Lyrics)

Pa Maabudu – Sifa Zako (Lyrics)

10
0
Partager

Pa Maabudu – Sifa Zako
Sifa zako Mungu hazijawahi kwisha
Sifa zako Mungu hazijawahi kwisha
Zilikuwa na bado zipo
Na zitadumu milele

Zimejaa tele (Hizi sifa zako)
Zimejaa tele (Hizi sifa zako)

Sifa zako Mungu hazijawahi kwisha
Sifa zako Mungu hazijawahi kwisha
Zilikuwa na bado zipo
Na zitadumu milele
Hizi sifa zako

Umenifanyia
Umenifanyia
Umenifanyia
Mambo ya ajabu
Umenifanyia
Umenifanyia
Umenifanyia
Mambo ya ajabu

Umenifanyia
Umenifanyia
Umenifanyia
Mambo ya ajabu
Umenifanyia
Umenifanyia
Umenifanyia
Mambo ya ajabu

Visites : 1 Aujourd’hui | 10 Totales

Partager

LEAVE YOUR COMMENT

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

Prouvez votre humanité: 5   +   10   =  

error: Droits d'auteur !!!