Mbosso – Siko Single
Heiyee
Click master
Kwenye safari ya mapenzi we dereva imaraa aah
Panapo na utelezi naomba gangamaraa aaah
My I know (I know)
Zitakuja changamoto toto
Sweety I know (I know)
Tutapitia misoto toto
Najua unanipenda mchumba
Huwezi enda na kimbunga
Najua unanipenda laazizi
Huwezi enda na mawimbi mpenzi
Sura yako, sura yangu, zishaanza kufanana
Moyo wako, moyo wangu, kupendana hadi qiyama
Siko single oooh (mchumba wambie)
Hauko single oooh
Siko single oooh (mchuchuchu waambie)
Hauko single
Hasara, hasara
Hasara nilipata before
Hasara za duka la mapenzi
Zilinikausha koo
Sikulala, sikulala mimi
Mambo ya kurushwa roho
Nikaapa kupenda sitaki tena
Aku mie nooh nooh
Wewe ni nani wewe
Ulonibadilisha akili
Wewe ni nani wewe
Umenitawala mwili mpenzi
Sura yako, sura yangu, zishaanza kufanana
Moyo wako, moyo wangu, kupendana hadi kiyama
Siko single oooh (mchumba wambiе)
Hauko single oooh
Siko single oooh (mchuchuchu waambie)
Hauko singlе
