Phina ft Eni – Nimekuchagua Wewe
Nimekuchagua wewe
Nitakupenda daima
Aaa uuu aaa, aaa uuu
Aaa, aaa uuu aaa, aaa
Uuu aaa, aaa aaa aaa
Ni safari ndefu
Ya mwanadamu
Maisha na mapenzi
Uwe mke ama mume
Mara moja kubahatika
Maisha ni mwako
Kumpata mtu fulani
Ambaye huwa ni maalum kwako
Kipenzi cha moyo wako
Kati ya dhiki kubwa
Nimetambua na kuamini
Kuwa kukutana kwetu
Mwanzo wa kutimia
Kuwa ile ndoto yangu
Ya siku nyingi
Kwani pendo letu linakua
Kulingana na wakati
Kila siku maishani mwangu
Nilikuwa na ndoto
Ya kumpata wanga mwenzi
Tufunge naye pingu za maisha
Nimekuchagua wewe
Uwe wangu
Wangu wa maisha
Wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele
Tugange yanayokuja
Nakupenda wewe
Malaika wa moto wangu
Mmmmmmh
Nakuhusudu wewe
Ua la moyo wangu
Nimekuchagua wewe
Uwe wangu
Wangu wa maisha
Wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele
Tugange yanayokuja
Kila siku maishani mwangu
Nilikuwa na ndoto
Ya kumpata wangu mwenzi
Tufunge pingu za maisha
