Paul Clement – Mwokozi
(Live Recording)
Macho yangu kwako
Nakuangalia wewe
Mwokozi ni wewe
Na sina mwingine
BWANA ni jabal i langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
Uhakika wa maish yangu
Ni kwasababu ninakwamini MUNGU
Huwezi niacha pekee yangu
Kwenye giza nene umekua nuru
Nakutegemea wewe na sio mtu
Mwanadamu kwamwe hawezi kua MUNGU
Kwake siwezi waka tumaini langu
Ila kwako Mwokozi na MUNGU wangu
Macho yangu kwako
Nakuangalia wewe
Mwokozi ni wewe
Na sina mwingine
Macho yangu kwako
Nakuangalia wewe
Mwokozi ni wewe
Na sina mwingine
BWANA ni jabal i langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
BWANA ni jabal i langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
Najua unanguvu
Waweza nibeba
Mwanadamu ataonoka
Ataniangusha
Mwanadamu ugeuka
Wakati wowote
Ila kwako uwakika
Huwezi nitupa
Milimani mabondeni Baba
(Uko na mimi)
Huwezi niache njiani maana
(Nina kwamini)
Msikaama kianga Baba
(Uko na mimi)
Huwezi niache njiani maana
(Uko na mimi)
Huwezi niache njiani maana
(Nina kwamini)
Macho yangu kwako
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
Macho yangu kwako
(Macho yangu kwako)
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
BWANA ni jabali langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
(x2)
Macho yangu kwako
(Macho yangu kwako)
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
(x2)
BWANA ni jabali langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
(x2)
Uhakika wa maish yangu
Ni kwasababu ninakwamini MUNGU
Huwezi niacha pekee yangu
Kwenye giza nene umekua nuru
Nakutegemea wewe na sio mtu
Mwanadamu kwamwe hawezi kua MUNGU
Kwake siwezi waka tumaini langu
Ila kwako Mwokozi na MUNGU wangu
Macho yangu kwako
(Macho yangu kwako)
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
(x2)
BWANA ni jabali langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
(x2)
Najua unanguvu
Waweza nibeba
Mwanadamu ataonoka
Ataniangusha
Mwanadamu ugeuka
Wakati wowote
Ila kwako uwakika
Huwezi nitupa
(x2)
Milimani mabondeni Baba
(Uko na mimi)
Huwezi niache njiani maana
(Nina kwamini)
Msikaama kianga Baba
(Uko na mimi)
Huwezi niache njiani maana
(Uko na mimi)
Huwezi niache njiani maana
(Nina kwamini)
Macho yangu kwako
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
Macho yangu kwako
(Macho yangu kwako)
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
BWANA ni jabali langu
Boma langu
Mwamba wangu
Ngome yangu
Na sina mwingine
(x2)
Macho yangu kwako
(Macho yangu kwako)
(Nakuangalia wewe)
Mwokozi ni wewe
(Mwokozi ni wewe)
(Na sina mwingine)
(x2)
Na sina mwingine
(Na sina mwingine)
Na sina mwingine
(Na sina mwingine)
Nimetafuta nimetafuta sijaona
(Na sina mwingine)
Na sina mwingine
(Na sina mwingine)
Nitainua macho yangu, Niitazame milima
Msaada wangu, utatoka wapi
Msaada wangu, u katika BWAN
Aliyezifanya, Mbingu na Nchi
Yeye asieacha, mguu wangu usogezwe
Tunakuamini Wewe
Tunakuangalia Wewe tu
Wewe tu, Wewe tu
Wewe tu, Weu
Wewe tu, Wewe tu
Wewe tu, Wewe tu
Wewe tu, Wewe tu
We need you more
We need you more
We need you more
We need you more
We need you more
We need you more
Ni Wewe tu
Yesu !
Yesu !
Yesu !
Yesu !
Yesu !
(Yesu, Yesu) x7
Najua unanguvu
Waweza nibeba
Mwanadamu ataonoka
Ataniangusha
Mwanadamu ugeuka
Wakati wowote
Ila kwako uwakika
Huwezi nitupa
(x2)
Omba tu, Omba tu
Hatuna mwingine
Wakumkabidhi maish yetu
Hatuna mwingine
Ila YESU tu
Uhai wetu haujafichwa kwenye fedha
Uhai wetu haujafichwa kwenye majina
Uhai wetu haujafichwa kwenye umaarufu
Uhai wetu haujafichwa kwenye Biashara zetu
BaliUhai wetu umefichwa
Ndani ya KRISTO YEZU
Na kila atakae mtazama huyo YESU
Ataishi
Ataishi
Bado naishi, Bado naishi
Hayajaniua
Bado naishi, Bado naishi
Bado naishi
Hayajaniua
(Bado naishi)
Bado naishi
(Bado naishi)
Hayajaniua
(Bado naishi)
