Otile Brown Ft Jovial – I Choose You
Na Mpa Amani yake na mpa heshima yake
Kilicho nikuta kwake
Penzi lake la thamani
Ata simu ya benki nampatia nawekeza kwake
Kilicho nikuta kwake penzi lake la thamani
Penye furaha yangu ndio nawekeza
Kama Penzi beti ichomeke mikeka
Kwake hazi load simu haina data
Kama Penzi beti ichomeke mikeka
Kwa mana umenifanya zezeta we Mwana laana
Chumbani umenifanya zezeta we Mwana lana
Ndio mana umenifanya zezeta we Mwana lana

I chose you darling , I chose you darling
I chose you darling , incase you’re wonder

I chose you darling , incase you’re wondering
Mapenzi kitu simple , sio kila siku cho cho choo!
Nilipotoka hapakaliliki kutwa vitimbi na mikiki
Mapenzi kitu simple , sio kila siku cho Cho choo!
Kwako sifurukuti mpenzi