Marioo – Mvua
Ah mungu ndio mtaalam, hum
mtaalam wa kumechisha, ndio
maana akaamua kunipa wewe
Ona tulivyo metisha
Ah mungu fundi, hum dongo
kalifinyanga, mzuri hauna
mapepe pepe, mami mawenge sinanga
Mooja mbiili, na tatu namba
zote za kwako oh me kama maji
mtungini, sina makambo kando
Ah baby mimi na wewe, ni mtu
na mtu wake eh sifurukuti
siruki ndege na mti wake
Mimi na wewe, mtu na tamu yake
nishajipataa sijapatikana na
kama inanyesha inyeshe
Ooh mvua, mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
mvua nyesha mvua
Ooh mvua, mvua nyesha mvua eh
Huku nataka nipatiwe mimi
mvua nyesha mvua, mvuaaa
I wish ningekuwa na uwezo
Nimjengee mamake, nyumba
ghali mombasa, mama mzaa
chema kaweza kaweza tena
Ningekuwa na uwezo ningemletea
babake ata ka verosa, baba mza
chema ah kaweza, maana ingekuwa
Mapenzi safari safri ah mda huu
niko kigoma mwisho wa reli aah
Ah baby mimi na wewe, ni mtu
na mtu wake eh sifurukuti
siruki ndege na mti wake
Mimi na wewe, mtu na tamu yake
nishajipataa sijapatikana na
kama inanyesha inyeshe
Ooh mvua, mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
mvua nyesha mvua
Ooh mvua, mvua nyesha mvua eh
Huku nataka nipatiwe mimi
mvua nyesha mvua, mvuaaa
[Marioo – Mvua Lyrics]
