Miss Kamweru – Enda Ukienda (Lyrics)
Verse 1
Nitoe kwa picha, tumeshamaliza
Chungu kimevunjika, maji yameshamwagika
Hayazoleki tena
Sikudhania mambo yangebadilika
Mate ni machungu, tayari nishatema
Na sikusema nitakuvumilia
Shika njia ukienda
There’s no meaning kama feeling ni ya pain
Kuzozana every day
Ni bora ungeenda
Chorus
Ukiendanaga, enda ukiendanga
Usitazame nyuma
Usitazame nyuma
Ukiendanga, enda ukiendanga
Usitazame nyuma
Usitazame nyuma
Verse 2
Nimefeli chaguo kupenda
Si yule anayenipenda
Moyo ukipenda
Hisia zinasema, yeeehhh
Siezi kupenda no more
I’m letting you go, can’t hurt me no more
I’m on the edge and you know
This love is no more
I’m letting you go
There’s no meaning kama feeling ni ya pain
Kuzozana every day
Ni bora ungeenda
Chorus
Ukiendanaga, enda ukiendanga
Usitazame nyuma
Usitazame nyuma
Ukiendanga, enda ukiendanga
Usitazame nyuma
Usitazame nyuma
