Otile Brown – Lala Salama
Usiku sija lala nimekesha niki Lia
Toka taarifa zako zilipo nifikia
Eti umei aga dunia kusema kweli nime umia
Lala salama shujaa
Ingawa sijawai semega jinsi mimi nakupenda sana
Jinsi wewe umenihamashisha sana
Kwa ujasiri wako na busara
And I miss you so much naona bora mimi ninywe pombe angalau maumivu niya loze
Lala salama , lala salama
Japo umeondoka ila roho yako itaishi kwenye kizazi iki
Lala salama
Mpaka tuje kukutana tena , Mungu akulaze pema
Ila roho yako ipo nasi